Tuesday, March 12, 2013

TPSC MAZOEZINI!


Wachezaji wa michezo mbalimbali ikiwemo Football,Basketball,Volleyball na Netball wa chuo cha utumishi wa umma wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika fukwe za bahari ya hindi siku ya jumanne 12/3/2013. ikiwa ni moja ya maandalizi ya michuano itakayofanyika hivi karibuni mikoani.



Wachezaji wa mpira wa kikapu wakiwa mazoezini wakijifua tayari kuyakabili mashindano yatakayohusisha vyuo vya utumishi wa umma nchini,yatakayofanyika mikoani.